Jesus Master Have mercy on Us -Luke 17
Yesu kapita Samaria,
Wagonjwa kumi wakamuona
Wakiwa mbali wakamuita,
Mwalimu Yesu tuhurumie
Wagonjwa kumi wakamuona
Wakiwa mbali wakamuita,
Mwalimu Yesu tuhurumie
{Yesu - Mnazareti tuhurumie
Yesu - Mwenye huruma akawaponya} * 2
Yesu - Mwenye huruma akawaponya} * 2
Wakati wote Mwokozi Yesu,
Alipopita huku na huko
Aliwakuta walemewao,
Na kwa huruma akawaponya
Alipopita huku na huko
Aliwakuta walemewao,
Na kwa huruma akawaponya
Na hata sisi Yesu aweza,
Kuja kwetu tunapomuita
Kutuokoa toka dhambini,
Na kuwa naye huko mbinguni
Kuja kwetu tunapomuita
Kutuokoa toka dhambini,
Na kuwa naye huko mbinguni
Yesu capita of Samaria,
Ten patients saw him
When they were afar off, they called him,
Teacher Jesus have mercy on us
{Jesus - you have mercy on us.
Jesus - merciful healed them} * 2
All the time Savior Jesus,
Where he passed here and there
He found them what they said,
And with mercy he healed them
And even us Jesus can,
Come to us when we call him
Saving us from sin,
And be with him in heaven
Ten patients saw him
When they were afar off, they called him,
Teacher Jesus have mercy on us
{Jesus - you have mercy on us.
Jesus - merciful healed them} * 2
All the time Savior Jesus,
Where he passed here and there
He found them what they said,
And with mercy he healed them
And even us Jesus can,
Come to us when we call him
Saving us from sin,
And be with him in heaven
No comments:
Post a Comment
like it